Mahakama ya Kenya yakataa dhamana ya mtuhumiwa mkuu wa kesi ya biashara haramu ya pembe za ndovu.
Dhamana ya mtuhumiwa mkuu wa kesi ya biashara haramu ya pembe za ndovu
Feisal Mohamed Ali iliyotolewa na Mahakama ya Mombasa ilikataliwa na
mahakama kuu. Wiki iliyopita mtuhumiwa huyo aliachiwa kwa dhamana ya
dola laki 1 ya kimarekani. Mtuhumiwa huyo na wenzake watano wanatuhumiwa
kufanya biashara haramu ya tani 2 ya pembe za ndovu zilizokamatwa huko
Mombasa Juni 5 mwaka jana.


0 comments:
Post a Comment