Image
Image

Meli kubwa ya mizigo yatia nanga bandari ya DSM.

Meli kubwa  ya mizigo ya  CLEMENS SCHLUTE yenye uwezo wa kubeba makasha 5500 mara moja imetia nanga bandari ya DSM kama ishara kuwa bandari hiyo inaweza kutumiwa na meli kubwa za mizigo duniani.
Mkurugenzi wa kitengo cha kutoa huduma za upakuaji makasha Bandarini - TICTS, DONALD TALAWA amesema meli hiyo imetoka Thailand na ujio wake utawavutia wafanyabiashara wa ndani na nje kuitumia bandari ya DSM kwa sababu gharama za usafirishaji mizigo zitapungua.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment