Image
Image

News Alert:UKAWA yakamilisha maandalizi ya kampeni zake Jangwani.

Maandalizi  ya  uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za vyama  vinavyounda  UKAWA  yanayotarajiwa  kufanyika  katika  viwanja  vya jangwani  yamekamilika.
Kukamilika kwa maandalizi haya tayari  baadhi  na makundi  ya  wananchi na viongozi kutoka ndani na nje ya nchi yameshawasili  jijini  Dar es Salam kwaajili ya kuhudhuria hafla  hiyo.

Mkuu  wa  idara ya  mambo ya nje wa UKAWA  Bw.Deogratius Mushi   amesema asilimia 100 ya maandalizi hayo yamekamilika tukio hilo  litarushwa na vituo mbalimbali vya  Radio na TV za hapa Tanzania kuanzia majira ya saa nane mchana.
Mushi amesema uzinduzi huo utakuwa ni wa kihistoria kwani unaonyesha ni jinsi gani watanzania wapo tayari kupokea mabadiliko na kutoka kwenye mfumo wa chama tawala CCM kilicho kuwa kikishika dola miaka 50 hadi hivi leo bila ukombozi kwa watanzania ambapo mwanzo huo wa kesho katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi kupitia UKAWA ndio muendelezo hadi kushika dola ifikapo Oktoba Asubuhi.
Msikie Bw.Deogratius Mushi akieleza namna itakavyokuwa kesho na maandalizi ya jukwaa-Like Page yetu kupata habari.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment