Image
Image

Breaking News:Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati wakwama Pugu.

                               Picha ikio nesha t reni ya reli ya ka ti.
Read More

Viongozi wa dini wawatahadharisha wananchi kuwa makini na viongozi wanaopenyeza chuki kuelekea uchaguzi mkuu.

Read More

Tume ya uchaguzi nchini imetakiwa kufanya ziara za kimyakimya katika maeneo zinapofanyika kampeini huzo.

Read More

Jeshi la Burkina Faso limechukua udhibiti wa kambi zote za kijeshi zilizokuwa zinakaliwa na kikosi maalum cha walinzi wa rais.

Read More

CCM Wamtimua Mwandishi wa Mwananchi Kwenye Msafara Wao Baada Ya Kuripoti Tukio la Magufuli KUZOMEWA Jijini Mbeya.

Read More

LUBUVA - Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura*Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni.

Read More

Tukio la udhalilishaji Malinzi kula sahani moja na Nyoso.

Juma Ny oso akifanya t ukio la udhal ilishaji dhidi ya John Bocc o msimu hu u wa li gi kuu Tanz ania.
Read More

Mafuriko ya LOWASSA yalikumba jiji la Tanga*Watu wazimia,Mabomu yarindima,Mkutano waahirishwa.

Read More

Magufuli asema anataka Tanzania yenye viwanda asisitiza hatakubali kuwepo kwa urasimu kwa watu wanaotaka kuwekeza.

Read More

Nahodha wa kikosi cha mpira wa Raga nchini Afrika Kusini Jean de Villiers amestaafu katika raga.

Read More