Image
Image

Mshauri mkuu wa jeshi kutoka Iran auawa mjini Aleppo.


Jenerali Hossein Hamadani ambaye ni kamanda wa Iran na aliyekuwa akihudumu kama mshauri mkuu wa jeshi la serikali ya Syria, ameripotiwa kuuawa mjini Aleppo.
Kamanda huyo ambaye alikuwa na umuhimu mkubwa katika uongozi wa jeshi la Iran, aliuawa usiku wa Alhamisi na wanamgambo wa DAESH mjini Aleppo.
Iran ni mojawapo ya nchi zilizokuwa zikituma viongozi wake wa kijeshi nchini Syria ili kushauriana na serikali na kusaidia mapambano dhidi ya kundi la DAESH.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment