Image
Image

Breaking News:Mwili wa Mawazo sasa kuagwa mahakama ya ruhusu.


Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwaka 2015 iliyofunguliwa na familia ya Marehemu Alphonce Mawazo aliyekua mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Geita kwa kuamuru mwili wa marehemu mawazo kuagwa jijini Mwanza

Hukumu hiyo imetolewa na jaji wa mahakama hiyo Mheshimiwa Lameck Mlacha ambapo familia na uongozi wa Chadema umeupongeza uamuzi huo kwamba umezingatia haki ya kikatiba ya kuruhusiwa kufanya ibada kuuaga mwili wa marehemu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment