Image
Image

Bomoabomoa yavikumba vibanda vya jumuia ya wazazi Shekilango CCM bila huruma.


Mahakama imeamuru kubomolewa kwa vibanda vya Shekilango CCM ambapo zoezi hilo limeibua utata juu ya uhalali wa zoezi hilo la bomoabomoa ambapo jumuiya ya wazazi wanaodai ni wamiliki halali wa eneo hilo wamelamikikia zoezi zima la ubomoaji wakati kesi ingali bado iko mahakamani.
Wamesema licha ya kutopatiwa taarifa juu ya ubomoaji huo wa gafla wakati kesi ikiendelea sio wa kiungwana na hivyo ifikapo jumatatu wki ijayo wataendelea na kesi ili kupatiwa haki yao ya msingi.
Endelea Kulike Page yetu hapo juu ilikupata Taarifa zetu kila zinapotufikia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment