Image
Image

Latest News:Ajali ya Simba mtoto na Lori yaua zaidi ya watu wanne na kujeruhi Muheza Mkoani Tanga.


Zaidi ya watu wa nne wanasadikiwa kufariki dunia kufuatia ajali mbaya iliyohusisha Basi la abiria la Simba Mtoto na Lori katika kijiji cha Pangani barabara ya Pangamlima kati ya hale na muheza Mkoani Tanga asubuhi ya leo.
Mashuhuda wa Ajali wanadai kuwa gari hizo mbili ziligongana usoso kwa uso ikielezwa pia kuwa eneo hilo si zuri sana ambapo ajali hiyo imesababisha magari mengine kushinwa kupita na barabara kufunga msururu wa magari.
Hata jeshi la Polisi limeonekana likifanya juhudi za ukozi kwa waliopoteza maisha kwa kupakia miili yao katika gari kusudi kwenda kuhifadhiwa sambamba na walio jeruhiwa kuweza kupelekwa hospitali kupatiwa matibabu.
Chanzo cha ajali hadi hivi sasa hakuna taarifa kamili ambapo tunafanya juhudi za kumtafuta kamanda wa polisi jijini humo ilikufahamu kwa kina.
Tutakufahamisha kila hatua Like Page Yetu na Kusoma Taarifa Zetu.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment