Image
Image

Sababu za wajawazito kujifungulia njiani za changiwa wa kukosekana kwa barabara Simiyu.

Kukosekana kwa barabara inayounganisha Kata ya Imalamate na Ngasamo Wilayani Busega Mkoani Simiyu  kwa muda mrefu kumetajwa kuwa ni moja ya sababu kubwa inayochangia wajawazito kujifungua vichakani na wanaoishiwa damu kupoteza maisha wakiwa njiani  kupelekwa hospitali.
Kutokana na kadhia hiyo  wananchi wa Kijiji cha Jisesa wameazimia kuchangia ujenzi wa zahanati ili kuondoa  shida hiyo.
Wananchi hao  wametoa kauli hizo walipokuwa w aki zungumza    kwenye   mkutano wa hadhara ulioitishwa na Diwani   wa Kata hiyo ,RICHARD MAGOTI.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kijiji  cha Kisesa ,PETER MACHIBULA amesema huduma ya afya katika  kata hiyo ni  tatizo kubwa ambal o haijapatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu, na katika mkutano huo walikubaliana kuchangia shilingi   Elfu-20  kwa kila kaya ili kuanza ujenzi huo mara moja.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment