Image
Image

Rais Magufuli awaonya wanaotaka kuandamana kuwa hatawafumbia macho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amesema kuwa hata wafumbia macho watu wenye kuonesha viashiria vya uvunjifu wa amani wanao panmga kuandamana nakusema kuwa watakavyofanya hivyo atawashughulikia bila huruma kwani hataki nchi hii iwe nchi ya vurugu hivyo hayupo tayari kujaribiwa kwani wanaofanya hivyo waache mara moja.
Amesesisitiza hayo wakati wa ziara yake wakati akiwahutubia wakazi wa Manyoni na ikungi akiwa njiani kuelekea mkoani Singida nakufafanua kuwa hajakataza shughuli za kisiasa kwa watu waliochaguliwa.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment