Image
Image

Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kuzuru Russia Agosti 9.

Ofisa habari wa rais wa Russia amethibitisha kuwa, rais Valdmir Putin wa Russia na rais Recep Tayyip Erdogan watakutana tarehe 9 mwezi Agosti huko St Petersburg. Ofisa huyo amedokeza kuwa, kutokana na nchi hizo mbili kukatisha uhusiano kati yao, marais hao wawili watafanya mawasiliano kuhusu masuala mengi. Awali, naibu waziri mkuu wa Uturuki ambaye alifanya ziara nchini Russia alipokutana na mwenzake wa Russia mjini Moscow alisema Uturuki inatarajia kuharakisha mchakato wa kurudisha uhusiano wa kawaida na Russia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment