Image
Image

Wanariadha wa Tanzania wapata ufadhili kwenda Rio.

Timu ya taifa ya Tanzania katika mchezo wa riadha itayokwenda kuiwakilisha nchini hiyo katika michuano ijayo ya Olimipiki imepata udhamini wa vifaa vya michezo pamoja na fedha za kiasi cha shilingi milioni tano.
Udhamini huo umetolewa na shirika la hifadhi za taifa (Tanapa)kupitia kwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo na kukabidhiwa kwa wachezaji hao.
Ufadhili huu unalenga kuisadia timu ya taifa na kuwezesha kufanya vizuri katika michuano ya Olimpiki na pia kusaidia kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania.
Timu hiyo ya riadha yenye wachezaji wanne inaendelea na maandalizi ya mwisho chini ya kocha wake Francis John katika kambi yake ya West Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment