Image
Image

UPDATES:Majambazi waarifiwa kuuawa katika majibizano ya risasi na Polisi, Vikindu Pwani.

Dar es Salaam.
Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo.
Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku katika eneo hilo ambalo majambazi hayo walikuwa wamejificha.
Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa mpaka sasana magari ya polisi yanaonekana yakiingia na kutoka katika eneo la tukio Vikindu kwenye nyumba walimojificha.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment