Image
Image

Rais Magufuli amwandalia chakula Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli akisalimiana na Mwakilishi kutoka Uturuki  Bw, Ziya Karahan wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Rais huyo jijin 23 January 2017 Dar es Salaam. Mwenye tai nyekundu ni Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan akipeana mkono na Mke wa Rais Dkt. Magufuli Mama Janeth Magufuli 23 January 2017 jijini Dar es Salaam.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli na Mama Janeth Magufuli wakigonga cheers wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya Rais huyo wa Uturuki 23 January 2017 jijin Dar es Salaam. 
Baadhi ya wageni waalikwa katika dhifa ya chakula cha jioni  kwa ajili ya kumuaga Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan  23 January 2017 jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli akipiga ngoma baada ya kufurahishwa na burudani kutoka kwa Bendi ya Mrisho Mpoto na Banabana wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan 23 January 2017  jijin Dar es Salaam. 
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment