Image
Image

Raia nchini Uingereza maandamana kupinga mwaliko wa Trump nchini Uingereza

Taarifa zinaarifu kuwa maandamano yamefanyika nchini Uingereza baada ya kutolewa wito na mashirika yasiokuwa ya kiserikali kuunadamani kupinga mwaliko wa rais Trump nchini Uingereza.
Maandamano hayo yamefanyika mjini London.
Waandamanaji hao wanapinga sera za serikali ya Trump za kupiga marufuku kuingia kwa raia kutoka katika mataifa 7 ambayo yalitambulishwa kama mataifa ya kiislamu kuingia Marekani.
Vile vile waandamanaji walipinga ujenzi wa ukuta baina ya Marekani na Mexico.
Walionekana wakiwa na mabango yaliokuwa na maandishi ya kuonesha kuwa hawamtaki rais Trump kualikwa Uingereza.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment