Image
Image

Rais Trump amteua McMaster kuwa mshauri wa usalama wa taifa Marekani.

Jenerali  Raymond McMaster ambae ana umri wa mika  55 ameteuliwa na rais Donald Trump kuwa mshauri mkuu wa usalama  wa taifa Marekani.
McMaster ameteuliwa hapo Februari 20 ambapo amechukuwa nafasi ya jenerali Flynn.
Taarifa zinaarifu kuwa Flynn aliondoka madarakani baada ya kutuhumiwa kuwa na mawasiliano na Urusi.
Mc Master ameteuliwa kuwa mshauri wa usalama kutokana na uzoefu wake katika masuala ya kijeshi. Alikuwa pia akihusika na kuhifadhi silaha na ni mwanajeshi ambae pia anatambulika kwa misiamamo yake kuhusu serikali ya Moscow.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment