
Lakini katika kura ya maoni chama chake cha LIKUD kinajikokota nyuma ya
muungwano wa mrengo wa kushoto na ushindani umekuwa mkali kuliko
ilivyotarajiwa.
Katika mkesha wa uchaguzi huo na katika kutafuta kuungwa mkopo na wapiga
kura Bwana NETANYAHU alisema kamwe hataruhusu kuundwa kwa taifa la Palestina
wakati akiwa madarakani.

Kulingana na wachambuzi haielekei upande wowote kuibuka na ushindi wa moja
kwa moja wa kuweza kuunda serikali kwa hiyo pamoja na matokeo kuanza
kujulikana baada ya zoezi la upigaji kura lakini itachukua muda kuunda
serikali kwa sababu ya mazungumzo ya serikali ya mseto.


0 comments:
Post a Comment