Hata
hivyo, wakizungumza suala hilo baadhi ya waumini wamesema
hawajatangaziwa kwamba askofu wao anaumwa bali wamesoma kupitia vyombo
vya habari.
“Ni
kweli hatumuoni hapa kanisani kwa muda wa wiki tatu sasa, tulidhani
yuko nje kwa shughuli za kanisa letu lakini taarifa za kuumwa kwake
zimetushtua,” amesema John Maliwa.
Paschal Eliud amesema ingawa ibada zinaendelea kama kawaida, lakini vizuri wakaelezwa aliko askofu wao na lini anarudi.
0 comments:
Post a Comment