Image
Image

Makonda awalipua bila uoga wauza dawa za kulevya nguli nchini, wamo pia Polisi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya katika mkoa huo.
Makonda ametoa agizo hilo leo jijini Dar es Salaam ambapo amezitaka mamlaka za kijeshi kuwaweka chini ya ulinzi ili waweze kutoa taarifa kwanini dawa za kulevya bado zinaendelea kuwepo.
Amesema kuwa kuna maeneo ambayo yamepewa vibali vya kufanya biashara lakini wanatumia maeneo hayo kinyume na masharti ya biashara kwa kuuza madawa ya kulevya ambapo amewataka wamiliki wake kufika kituo kikuu cha polisi kesho saa tano na wasipofanya hivyo atawatafuta.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment