Hatimaye Lionel Messi amemtambulisha
rasmi mtoto wake wa kiume kwa mashabiki kufuatia picha yake yenye pozi
kali waliyopiga yeye (Messi), mtoto huyo aitwaye Thiago na mama wa mtoto
wake, Antonella Roccuzzo.
Hii ni mara ya kwanza kwa nyota huyo
wa Barcelona anayeshikilia tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Dunia kwa
mwaka wa nne mfululizo kuonyesha sura ya mwanawe kwa mashabiki... hebu
icheki freshi. Wamefanana eeen
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment