Image
Image

FASHENI YA UCHOKOZI YA RIHANNA WAKATI AKIFANYA MANUNUZI

RIHANNA alifanya "window shopping" na kuingia katika maduka kadhaa wakati akiwa matembezini mjini Beverly Hills, California. 

Huku akiwa ameambatana na shostito wake Melissa Forde, nyota huyo wa muziki alionekana akiwa amependeza kinoma katika vazi lake la jeans -- shati na sketi fupi, ambayo imetobolewa kwa nyuma ili kuwatega watu.

Rihanna kwa sasa yuko katikati ya ziara yake ya Diamonds ambayo itamalizika Oktoba.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment