Image
Image

EXCLUSIVE: MKUTANO WA KUJADILI WAFANYAZI WA MAJUMBANI WAZINDULIWA JIJIN DAR ES SALAAM

Mkurungenzi msaidizi wa Wizara ya kazi na ajira Bw. Ally Msaki akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi  kutoka nchi za Afrika mara baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali  za Afrika unaojadili  wafanyakazi wa majumbani  kwa nchi za Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) na umefanyika katika ukumbi wa Kazi House Ilo,  jijini Dar es salaam leo.
Wawakilishi kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa wakujadili wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kazi House,  jijini Dar es salaam
Wafanyakazi wa majumbani wakiwa wamesimama na mabango wenye jumbe mbalimbali wakati wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali  za Afrika unaojadili  wafanyakazi wa majumbani  kwa nchi za Afrika uliondaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) ambao umefanyika leo  kwenye ukumbi wa Kazi House Ilo jijini Dar es salaam
Wawakilishi kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa kujadili wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika katika ukumbi wa Kazi House,  jijini Dar es salaam




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment