Image
Image

EXCLUSIVE: WAZIRI MKUU AKIWAJULIA HALI WAATHIRIKA WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA, KWEYE HOSPITALI YA MAUNTI MERUARUSHA.

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaonya baadhi ya watu wanaofanya ushabiki wa kisiasa kwenye tukio la mlipuko wa Arusha na kuwataka wasitumie tukio hilo kujipatia umaarufu na badala yake watumie fursa hiyo kuwafariji walioathirika na kuwa watulivu hadi suala hilo lifikie hatma yake. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa pole baadhi ya majeruhi wa bomu la kutupwa kwa mkono lililolipuka katika kanosa Katoliki la Olasiti Arusha wakati alipowatembelea kwenye hospitali ya mkoa wa wa Arusha, Mount Meru, Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment