Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba wimbo wa Solidarity Forever wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya, Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Nicolaus Mgaya, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment