Hawa ni wapenzi wawili ambao waliamua
kujichukulia jukumu la kujinyonga hadi kufa juu ya mti mara baada ya wazazi wa
mvulana kukataa etii asimuoe msichana huyo huko DRC Kongo.
Kutokana na kuwa wapenzi uchwara yaani wapenzi
ambao walikuwa hawajatambulika kwa wazazi, ili walazimu kutoa hisia zao kwa
wazazi kwamba sasa tunataka tuoane haswa kwa mwanaume kuwafikishia wazazi wake
kwamba ninaye binti nan a taka kumuoa ndipo alipoona anawekewa uzio wakuto muoa
na kwa jinsi wapenzi hao walivyokuwa wameshibana, wakaona isiwe shida
wakajitaftia mti mzuri wakajinyonga kama unavoona kwa picha hapo.
Sasa je kwa wazazi wa kitanzania wanao wachagulia
watoto wao wachumba mmeona hiki, na je kuna mpenzi wakitanzania anayeweza
kuchukua hatru hiiii?.


0 comments:
Post a Comment