Mwanafunzi wa kike ambaye hakufahamika jina lake mara moja amefumaniwa katika nyumba moja ya kulala wageni (guest house) majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam na kupata kipigo takatifu, huku mwanaume aliyekutwa naye ikidaiwa kuponyoka na kukimbia pasipo julikana.
Hawa wanaoonekana kumshikilia Mara baada ya kupata taarifa toka kwa Wasamaria wema ni wazazi wake, Je ingekuwa wewe ungemfanya nini mtoto huyuu?. |
0 comments:
Post a Comment