Ameanza
kwa kuulizia nauli ya ndege kwenda na kurudi Botswana kutokea Tanzania. “Does
anyone know the cost of a return ticket to Botswana from Tanzania? Holla
please,” alitweet Feza Kessy.
Jana
aliweka ratiba yake nzima kwa kutweet:
Botswana
then South Africa. You don’t understand how much I have mad love and respect
for you”
Hiyo
ina maana kuwa Feza ataenda Botswana kwa mara ya kwanza kukutana na mpenzi wake
Oneal na kisha wote kwa pamoja kurejea tena nchini Afrika Kusini kuhudhuria
fainali za Big Brother Africa.
Tarehe
17 mwezi huu, mshiriki huyo wa Tanzania kwenye The Chase aliweka hadharani
upendo wake kwa Oneal alipoandika:
I Love
you @Onizee and the beauty is that it’s not just empty words. May the good Lord
protect us.
TLDG.
0 comments:
Post a Comment