Image
Image

HII NI KALI KAMA ULIKUWA HJUI, NI KWAMBA HILI NDILO GARI LA KIFAHARI AINA YA STELLA LINALO TUMIA NISHATI YA UMEME NA NI MAHUSUSI KWAAJILI YA FAMILIA.

 Gari hili aina ya “stela”linatumia nishati ya jua (Solar energy/powered limetengenezwa mwaka 2013.

Gari hili limetengenezwa mahususi kwaajili ya familia na ndani ya gari hili kuna viti 4 tu, viwili mbele na viwili nyuma na lina uwezo wa kutembea kilomita 600 kwa kutumia nishati ya jua.







Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment