Image
Image

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIMUONYESHA NAIBU KATIBU MKUU BI NKINGA AKIBADILISHANA HATI WALIOTILIANA SAINI NA OCK SOO PARK JIJINI DSM.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akibadilishana hati  za makubaliano ya mikataba ya ushirikiano na Mwanzilishi wa  kikundi  cha kimataifa cha Vijana kutoka Korea(IYF) Mchungaji Mwandamizi Ock Soo Park (kushoto) leo jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa Idara ya  Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Dkt, Elisante Ole Gabriel (kulia)akiongea katika hafla ya kutiliana saini mikataba ya ushirikiano leo jijini Dar es Salaam baina ya Wizara yake na Kikundi cha Kimataifa cha Vijana kutoka Korea (IYF).Pichani  aliekaa katikati ya bendera ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni naMichezo  Mh,Dkt. 

Fenella  Mukangara.( kulia aliokaa) Ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bibi Sihaba Nkinga. (kushoto) Mwanzilishi wa IYF , Mchungaji Mwandamizi Ock Soo Park kutoka kanisa la Good News Gangnam. Seoul Korea.
 Baadhi ya vijana wa kikundi cha IYF kutoka korea wakiohudhuria katika hafla hiyo leo jijini Dar es Salaam.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akibadilishana hati  za makubaliano ya mikataba ya ushirikiano na Mwanzilishi wa  kikundi  cha kimataifa cha Vijana kutoka Korea(IYF) Mchungaji Mwandamizi Ock Soo Park (kushoto) leo jijini Dar es Salaam. 

Mchungaji Mwandamizi huyo ambae ametia saini kwa niaba ya  kikundi cha IYF(International Youth Fellowship) . Hafla hiyo pia ilishuhudiwa na  Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara(katikati).


Mandhari ya ukumbi wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo kulikofanyika hafla  ya utiaji wa saini ya mikataba ya ushirikiano  leo jijini Dar es Salaam.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment