Naibu waziri wa maji
Dk Binilith Mahenge akipata maelezo kuhusu miradi
ya maji wilayani Same kutoka
kwa mhandisi wa maji wilaya ya Same Musa
Msangi.
Naibu waziri wa maji
Dk Binilithi Mahenge akiangalia moja ya vilula
vilivyojengwa katika kijiji cha
Miombo wilayani Same.
Naibu waziri wa maji
Dk Binilith Mahenge akiongea na wananchi wa
kijiji cha Miombo wilayani Same
ambao hata hivyo walidai tangu uhuru
hawakuwahi kumuona waziri aliyefika katika
kijiji hicho.
Mwenyekiti wa kijiji
cha Mteke wilayani Same Samson Kimbuta akiongea
wakati wa mkutano mdogo wa
wananchi wa kijiji hicho na naibu waziri wa
maji Dk Binilith Mahenge
aliyetembelea kijiji hicho.
Diwani wa kata ya
Mhezi katika kijiji cha Mteke wilayani Same Allen
Mbaga kiongea wakati wa
mkutano mdogo wa wananchi wa kijiji hicho na
naibu waziri wa maji Dk Binilith
Mahenge aliyetembelea kijiji hicho.
Dk Binilith Mahenge
akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mteke wilayani
Same wakati wa ziara yake
kutembelea miradi ya maji katika wilaya
hiyo.
Picha na Dixon
Busagaga waglobu ya jamii Moshi.
0 comments:
Post a Comment