Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na rais wa Benki ya Exim ya China , Bw. Li
Ruogu kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing China.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa China Development Bank (CDB), Bw.
Zheng Zhijie kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing kushto ni Waziei wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary
Nagu na Kulia ni Balozi wa China nchin, Dr. Lu Youqing.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank,
Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao
kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Benki ya EXim ya China
Bw. Li Ruogu baada ya mazungumzo yao mjini Beijing.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Benki ya Exim ya China, Bw.Li Ruogu
mjini Beijing.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank,
Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao
kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Kushoto ni Balozi wa
China Nchini Dr. Lu Youqing.

0 comments:
Post a Comment