Image
Image

UNAFAHABU SABABU KUBWA YA KIFO CHA MAMA YAKE UFOO NA MKWEWE, BOFYA HAPA.


WAKATI bado unasubiriwa uchunguzi kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi wa habari wa ITV na radio one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa ndugu wa marehemu Atery Mushi, ni kuwa marehemu mushi alikuwa ana ugomvi wa muda mrefu kuhusu nyumba ambayo ilikuwa ikimilikiwa na marehemu Mushi.

Ni kuwa wakati marehemu Mushi akiwa nje ya nchi,Ufoo alifanikiwa kubadilisha hati za umiliki wa nyumba hiyo iliyopo maeneo ya Minjingu,manispaa ya Arusha kwa kushirikiana na mama yake.

Marehemu Mushi aliporudi alijaribu kuwawekea vikao x3 kuhusu jambo hilo lakini hakufanikiwa.Kutokana na dhahama hiyo ndipo marehemu Mushi alipoamua kuandika maelezo juu ya mambo aliyofanyiwa na uamuzi aliouchukua.barua alioindika aliiacha nyumbani kwa mama yake Ufoo.

kama uchunguzi ukikamilika huenda police wakaiweka hadharani,pia kuna uwezekano wa Ufoo kukabiliwa na mashtaka mara atakapotoka hosp. kutokana na maelezo ya barua aliyoiandika Mushi kabla ya kujiua.

Marehemu Atery Mushi anatokea ktk kijiji cha Uru Maeda mkoani Kilgmanjaro...soure:ndugu wa karibu wa marehemu Mushi.
Source:Jamii Forums
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment