Raia nchini Pakistan wanaadhimisha siku tatu za maombolezo kuwakumbuka
zaidi ya watu 140 waliouwawa,karibia wote wakiwa watoto katika shambulio
lililotekelezwa na kundi la Taliban. Waziri mkuu Nawaz Shariff ameitisha mkutano wa vyama vyote vya kisiasa nchini humo kujadili vile watakavyoweza kujibu shambulizi hilo la Peshawar. Ameelezea shambulizi hilo kuwa janga la kitaifa lililotekelezwa na wakatili.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment