Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed kitoa hotuba
yake katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa
mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mbweni Zanzibar
Baadhi
ya Viongozi wa Nchi Tano za mataifa mbalimbali walioshiriki katika mkutano wa
kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea
Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Kamanda
Philip Knightsheen akitoa salamu za Shirika lake linalosimamia huduma za
Kibinaadamu na Afya la Usafricom kwenye mafunzo ya siku tano ya zoaezi
la kukabiliana na maafa Zanzibar hapo Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Mwakilishi
wa shirika la Misaada la Marekani Us Aid Bibi Anna Senga akizungumza katika
mafunzo ya siku tano kuhusu zoezi la kukabiliana na maafa Zanzibar.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Moh’d Aboud Moh’d
akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ripoti ya
Maafa
Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maafa Zanzibar Nd. Ali Juma Hamad wa kwanza
kutoka kulia akiwa na baadhi ya watendaji wa Idara hiyo wanaoshiriki mafunzo ya sku tano kuhusu zoezi la kukabiliana na maafa Zanzibar.
Baadhi
ya washiriki wa mafunzo ya siku tano kuhusu zoezi la kukabiliana maafa Zanzibar
yanayofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Mwakilishi
wa shirika la Misaada la Marekani Us Aid Bibi Anna Senga akibadilishana mawazo
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif nje ya ukumbi wa
Zanzibar Beach
Resort mara baada ya kufunguliwa rasmi mafunzo ya zoezi hilo.
Balozi
Seif ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mh. Haji
Omara Kheir. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar
Mh. Moh’d Aboud Moh’d na Mwakilishi
waShirika linalosimamia huduma za Kibinaadamu na Afya la
Usafricom Kamanda Philip Knightsheen.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya siku tano
kuhusu zoezi la kukabiliana na maafa Zanzibar yanayofanyika
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort. kushoto ya Balozi Seif ni Mwakilishi wa
shirika la Usafricom Kamanda Philip Knightsheen, Waziri wa Afya Zanzibar
Mh. Rashid Seif , Kaimu Kamanda wa Brigedia Nyuki Zanzibar na Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa hotuba katika mkutano
wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza
kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment