Image
Image

Kamati ya bunge nchini marekani imetoa barua pepe mbili binafsi za waziri Clinton kuhusiana na kushambuliwa

Kamati ya Bunge la Marekani imetoa barua pepe mbili binafsi za aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa nchi hiyo Bibi HILLARY CLINTON kuhusiana
na kushambuliwa kwa ubalozi wa nchi hiyo huko Libya.
Kamati hiyo inachunguza shambulio lililofanywa kwenye Ubalozi wa Marekani
ulioko mjini Benghazi Libya mwaka 2012 ambapo balozi na waafisa wengine
watatu wa ubalozi huo waliuawa.

Wabunge hao wa Chama cha Republican wanasema Bibi CLINTON ambaye huenda
akagombea uchaguzi wa rais hakufanya juhudi za kutosha kuzuia shambulio
hilo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment