Mbunge wa Viti maalumu kutoka mkoani
Tanga Amina Mwidau amerithi mikoba ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini
Zitto Kbwe kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa PAC Ziito Kabwe amempongeza Amina kupewa nafasi hiyo huku akisisitiza kuwa na imani naye katika kipindi chote alichofanya naye kazi katika kamati hiyo akiwa Bungeni.
Ujumbe wa Zitto Kabwe katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii,

0 comments:
Post a Comment