Amesema kimbunga hicho kiitwacho PAM kilichokuwa kikivuma kwa kasi y a Kilomita 250 kwa saa na kusababisha mv ua kubwa ya mafuriko kimeharibu maendeleo yote yaliyokuwa yamefikiwa na kisiwa hicho.
Bwana LONSDALE alikuwa akizungumza nchini J apan ambako amekuwa akihudhuria mkutano ambako amesema kimbunga hicho kimeku wa pigo kwa serikali na watu wa kisiwa hicho.
Hadi sasa watu wanane wamethibitishwa wamekufa kutokana na kimbunga hicho,lakini idadi ya watu waliokufa hue nda ikaongezeka wakati waokoaji wakiyafikia maeneo ya mbali ya kisiwa hicho.






0 comments:
Post a Comment