Meno
hayo yamechomwa moto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanyamapori Duniani na
miaka 25 tangu biashara ya meno ya tembo ipigwe marufuku kulinda wanyamapori
waliokuwa katika hatari ya kutoweka duniani.
Bwana
KENYATYTA amesema tangu wakati huo mapya yamekuwa yakiibuka kwenye masoko ya
magendo ya nyala za wanyamapori na hivyo kutishia tembo na vifaru barani
Afrika.
Kulingana
na shirika moja la kimataifa la kuhifadhi wanyamapori lenye makao makuu yake
London lilisema mwaka jana kuwa tembo 100,000 wameuawa barani Afrika kati ya
mwaka 2010 na 2012 kutokana na ujangili.
Kwa
sababu hiyo Mwana wa Mfalme wa Uingereza
Prince WILLIAM ametaka uwindaji haramu upigwe vita na kukomeshwa ili kunusuru
wanyamapori walio katika hatari ya kutoweka barani Afrika na kwingineko
duniani.
0 comments:
Post a Comment