Serikali ya COLOMBIA, na waasi wa kikundi cha FARC cha nchini humo,
wamekubaliana kuanza zoezi la kutegua mabomu ya kutegwa ardhi, yaliyoko
katika eneo lililokuwa likitumiwa kwa mapambano dhidi ya pande hizo
mbili.
Makubaliano hayo ni sehemu ya makubaliano ya amani yaliyofikiwa kati
ya pande hizo mbili ya kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyenyewe,
vilivyodumu kwa nusu karne nchini COLOMBIA.
Nchi hiyo ndiyo inayoongoza duniani kwa kuwa na mabomu mengi ya kutegwa ardhini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment