Miili ya Watu waliofariki dunia
jana kutokana na ajali ya Basi la abiria la Majijna Express lililokuwa na Namba
za usajili T438 CDE lililokuwa limegongana na Lori la Mizigo lililokuwa
limebeba Kontena ambalo liliangukia basi hilo na kuua watu 43 katika eneo la
changarawe barabara kuu ya Iringa na
mbeya hatimaye idadi imeongezeka na
Kufikia Maiti 50 hadi sasa .
Vifo vya watu waliopata ajali Mufindi Mkoani Iringa vyaongezeka na Kufikia 50
Baadhi mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa katika eneo ilipotokea ajali Mufindi iringa.

0 comments:
Post a Comment