Mwenyekiti
wa Shirika la World Doctors kutoka Italia Bi. Tanya Niestedt (kulia)
akizungumza na Waganga wa Tiba asili hawapo pichani katika semina ya siku moja
ya yakuwataka waganga hao washirikiane na Madaktari katika kutibu magonjwa ya
Kisukari na Presha, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza
Zanzibar Dkt. Omar Mwalim, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi
mmoja Mjini Zanzibar.
Mkuu wa kliniki ya Kisukari Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Faiza Kassim (aliesimama) akizungumza na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala kuhusu mashirikiano ya utibabu wa magonjwa ya kisukari na presha.Ili kuepuka mgonjwa mmja kutumia dawa za Hospitali na zile zinazotolewa na waganga hao.
0 comments:
Post a Comment