Image
Image

News Alert:Ndesamburo kutogombea ubunge tena katika jimbo la moshi mjini katika uchaguzi wa mwaka huu.


Mbunge wa jimbo la moshi mjini kwa vipindi vitatu mfululizo Mh. Philemon Ndesamburo ametangaza rasmi kuwa hatagombea tena nafasi hiyo mwaka huu na kumtaja meya wa manispaa ya moshi mstahiki Jafari Michael kuwa mrithi wake.
Mhe.Ndesamburo ametangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa hadhara wa wananchi wa manispaa ya moshi katika kata ya mbuyuni na kuwashukuru wananchi kwa kumpa ushrikiano mkubwa kwa miaka yote 15 ya ubunge wake.

Amesema,amechukua uamuzi huo kuondoa makundi ndani ya chama, majungu na fitina ambazo zilianza kujitokeza ili kujenga umoja na mshikamano zaidi na amewataka wananchi hao kujiandikisha katika daftari la kudumu la  wapiga kura.




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment