Image
Image

Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa.


Tawi la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake wakati wa shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani Ripoti kutoka kwa maafisa wa usalama nchini Yemen zinasema kuwa Nasser al-Wuhayshi aliuawa siku ya ijumaa katika mji wa bandari wa Mukala.
Kundi lake limelaumiwa kwa kupanga mashambulizi kadha dhidi ya Marekani likiwemo jaribio la kuilipua ndege ya Marekani mwaka 2009, pamoja na shambulizi katika gazeti la Charlie Hebdo mji Paris nchini Ufaransa mwezi Januari mwaka huu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment