Image
Image

Mzee Yusuf: Sikuwahi kumkimbia Khadija Kopa.


MFALME wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf, ameibuka na kuweka wazi kwamba hakuwahi kumkimbia Malkia wa muziki huo, Khadija Kopa, anayedai kwamba amekataa kushirikiana naye katika wimbo aliotaka.
Mzee Yusuf aliongeza kwamba ameshafanya nyimbo mbili na Kopa za kushirikiana, lakini Kopa anadai nyimbo hizo walikutanishwa na mashirika yaliyotaka kazi hizo zifanywe nao na si vinginevyo.

“Unajua mie nashangaa sana hizi habari, Khadija hajawahi kuniambia tufanye wimbo wa pamoja na siwezi kumkimbia, muda ukifika tutafanya wimbo wa kushirikiana muda bado haujafika,” alimaliza Mzee Yusuf.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment