Image
Image

Hifadhi ya nafaka ya miaka 1300 yagunduliwa Uturuki.


Katika mji wa kale wa Pisidia Antiokia unaopatikana katika wilaya ya Isparta nchini Uturuki, hifadhi ya nafaka yenye umri wa miaka 1300 imegunduliwa.
Hifadhi hiyo iliyokuwa na aina mbalimbali ya nafaka kama vile ngano, maharagwe na kadhalika inasemekana kutumiwa katika karne ya 7 katika enzi za warumi.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment