Akizungumza
Wilayani Momba Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro amesema hatua hiyo
itasaidia kufahamu mafanikio tangu kuanzishwa kwa mashirika hayo kiasi
cha fedha kilichotumika katika utekelezaji miradi na jinsi umasikini
ulivyopungua katika jamii.
Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa Programu za maendeleo ya wasambazaji wa pembejeo za kilimo ADP, Wilayani Mbozi, Victor Elimshau amesema mradi huo utafanya kazi katika wilaya za Ileje, Mbozi na Momba.
Elimshau amesema lengo la mradi huo ni kuongeza uwezo wa huduma za fedha kwa wakulima wadogo wadogo ili waweze kupata pembejeo za kilimo.

0 comments:
Post a Comment