Mtoto wa kwanza wa rais wa Marekani Malia Obama ’17’ ameanza harakati zake za kutaka kuwa mwigizaji na muongozaji a filamu.
Malia ameonekana huko Brooklyn na kundi la watayarishaji na waigizaji
wa “Girls” hivi karibuni huku mashabiki wakifahamishwa kuwa hatacheza
kwenye filamu hii ila ndio anajifunza mambo hayo.
Malia alionyesha kupenda kuwa mwigizaji na hata kuonekana kwenye tamthilia ya Halle Berry “Extant.”
Home
BURUDANI
Siri ya muda iliyokuwa imejificha juu ya kazi gani anataka kufanya mtoto wa obama yagundulika.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment