Shirika la umeme Tanzania Tanesco
limeanza hatua za uunganishaji wa nishati ya gesi tayari kwa kuzalisha umeme
kwa kutumia gesi hiyo kwa kupitia kituo kikubwa cha umeme cha kinyerezi kwa
grade ya taifa kupitia mradi mkubwa wa BRN.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa
shirika hilo Bwana.felchesim mramba alipokuwa akielezea mafanikio ya miradi
inayoendeshwa na shirika hilo na kuwataka wateja kuwa wavumilivu kwa kipindi
hiki ambacho majaribio ya uunganishaji wa bomba hilo katika grade ya taifa
ukiendelea.
Pia shirika hilo limategemea kuzima mfumo wa umeme
wa luku tarehe 1 ya mwezi wa 8 na kuingia kwenye mfumo wa kisasa utakao
rahisisha upatikanaji wa huduma hiyo tofauti na hali ilivyo sasa ambapo
upatikanaji wa huduma ya luku umekuwa siwa uhakika.
0 comments:
Post a Comment