Afisa mtendaji mkuu wa chama
hicho Elitumu Malamia amesema sheria hiyo mpya
ya kodi imekuwa na vipengele vingi ambavyo siyo rafiki kwao kulinganisha
na sheria za kodi zinazotumika katika nchi nyingine wanachama wa jumuiya ya
Afrika ya Mashariki.
Naye mwanasheria
wa kujitegemea Geasi Mwaipaja amesema wadau wa masuala ya kodi wanapaswa kutambua kuwa
utekelezaji wa kila sheria una
changamoto zake licha ya kwamba lengo kuu ni kujenga na siyo kubomoa.
0 comments:
Post a Comment