Image
Image

Shughuli za kawaida zasimamishwa na mafuriko yaliyoleta hasara katika miji mbali mbali nchini China.


Serikali ya China imefanya mipango ya kupeleka maji safi ya kunywa,chakula na blanket kwa familia ambazo zimekosa mahitaji ya msingi ya kujikimu kila siku.
Mafuriko hayo yaleta hasara kubwa,nyumba kadhaa na magari ya kipekee ya watu wengi yameharibiwa.
Ripoti zaarifu kuwa maeneo ya miji mingine yamekosa umeme.
Usafiri wa umma vile vile umekwama kwani safari za kutumia treni na ndege zaahirishwa kutokana na ukosefu wa umeme.
Hasara iliyotokana na mafuriko hayo ni ya thamani ya dola milioni 10.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment